• Ifahamu medali ya miujiza.
    Nov 7 2024

    Ungana nami Judith Francis Katika kipindi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Padre Respicious Sigoma kutoka Jimbo Katoliki Singida, anatufundisha juu ya medali ya miujiza.

    L'articolo Ifahamu medali ya miujiza. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    37 mins
  • Fahamu msaada wa Binadamu kwa ndugu zetu Marehemu.
    Nov 7 2024

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kutufundisha juu ya msaada wa Binadamu kwa ndugu zetu Marehemu.

    L'articolo Fahamu msaada wa Binadamu kwa ndugu zetu Marehemu. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    50 mins
  • Fahamu kuanzishwa kwa sherehe ya Watakatifu wote.
    Nov 7 2024

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tukiungana na Frateri Cassian Lebba kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali hili sherehe ya Watakatifu wote ilianzishwa lini na nani?

    L'articolo Fahamu kuanzishwa kwa sherehe ya Watakatifu wote. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    26 mins
  • Zifahamu tabia mbaya na madhara yake katika Jamii.
    Nov 7 2024

    Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki Moshi, leo anatufundisha juu ya madhara ya tabia mbaya katika jamii.

    L'articolo Zifahamu tabia mbaya na madhara yake katika Jamii. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    53 mins
  • Mfahamu Mfalme Ahabu na mkewe Malkia Yezebe.
    Nov 6 2024

    Karibu uungane nami JOHN SAMKY, katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Leo nipo na Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akiendelea kufundisha juu ya kukoseana na kusamehana akiwatazama Wafalme mbalimbali, leo anamzungumzia Mfalme Ahabu na mkewake Malkia Yezebe.

    L'articolo Mfahamu Mfalme Ahabu na mkewe Malkia Yezebe. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    54 mins
  • Ufahamu wajibu wa Mkristo kuwafua Mavazi yetu katika Damu ya mwana Kondoo.
    Nov 6 2024

    Karibu uungane nami Judith Mpalizi katika kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Padre Yohanes Kalua, kutoka Parokia ya Bikira Maria Malkia Ihalula Jimbo Katoliki Njombe akitufundisha juu ya wajibu wa kuwafua mavazi yetu katika Damu ya mwana Kondoo.

    L'articolo Ufahamu wajibu wa Mkristo kuwafua Mavazi yetu katika Damu ya mwana Kondoo. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    27 mins
  • Fahamu sababu zinazo sababisha kupungua kwa Utetezi wa uhai.
    Nov 6 2024

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanaendelea na mada juu ya Utamaduni wa Uhai, kipengele cha kumlea Mtoto vizuri katika Makuzi ya kiroho na kimwili.

    L'articolo Fahamu sababu zinazo sababisha kupungua kwa Utetezi wa uhai. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    51 mins
  • Je, wafahu uhusiano wasadaka za kale za kiyahudi na za Yesu Kristo?.
    Nov 6 2024

    Karibu uungane nami Frateri Cassian Leba kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, nikijibu swali linalohoji Je, kuna uhusiano gani katika sadaka za kale za kiyahudi na Bwana Yesu Kristo?.

    L'articolo Je, wafahu uhusiano wasadaka za kale za kiyahudi na za Yesu Kristo?. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    27 mins