• Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?

  • Feb 21 2025
  • Length: 30 mins
  • Podcast

Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?

  • Summary

  • Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Costantine Haruna kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali lililoulizwa na Msikilizaji akihoji, kuna tofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?

    L'articolo Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less

What listeners say about Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.