• Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?

  • Feb 21 2025
  • Length: 56 mins
  • Podcast

Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?

  • Summary

  • Ungana nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bikoba, akijibu moja ya swali lilioulizwa na Msikilizaji akihoji, kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less

What listeners say about Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.