Radio Maria Tanzania

By: Radio Maria Tanzania
  • Summary

  • Radio Maria Tanzania
    Show more Show less
Episodes
  • Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?
    Feb 21 2025

    Ungana nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bikoba, akijibu moja ya swali lilioulizwa na Msikilizaji akihoji, kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Baba Mtakatifu Benedikto XVI alistaafu? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    56 mins
  • Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?
    Feb 21 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Costantine Haruna kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali lililoulizwa na Msikilizaji akihoji, kuna tofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa?

    L'articolo Je, kuna utofauti gani kati ya Mama Kanisa na Mama wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    30 mins
  • Je, Makanisa ya Orthodox yaliyopo Tanzania yamerudi Ukatoliki?
    Feb 21 2025

    Karibu uungane nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akiendelea kujibu maswali ya Msikilizaji na moja ya swali hilo ni Je, Makanisa ya Orthodox yaliyopo Tanzania yamerudi Ukatoliki?

    L'articolo Je, Makanisa ya Orthodox yaliyopo Tanzania yamerudi Ukatoliki? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    57 mins

What listeners say about Radio Maria Tanzania

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.