• SBS Swahili - SBS Swahili

  • By: SBS
  • Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

By: SBS
  • Summary

  • Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
    Copyright 2023, Special Broadcasting Services
    Show more Show less
activate_WEBCRO358_DT_T2
Episodes
  • Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"
    Sep 13 2024
    Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
    Show more Show less
    7 mins
  • Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024
    Sep 13 2024
    Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
    Show more Show less
    18 mins
  • Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
    Sep 13 2024
    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
    Show more Show less
    8 mins

What listeners say about SBS Swahili - SBS Swahili

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.