Episodios

  • Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    May 2 2025

    Karibu ungane nami Happiness Mlewa katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe Mkurugenzi wa Radio Mbiu sauti ya Faraja Kagera, akituongoza kujifunza ni kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini

    L'articolo Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    55 m
  • Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini?
    Apr 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Peter Peter Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki la Songea ,akijibu swali la Msikilizaji linalosema Yesu alitukomboa kwa namna gani mbona dhambi bado ipo duniani?

    L'articolo Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    23 m
  • Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?
    Apr 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frateri Emmanuel Elisha Mganga Kutoka Parokia ya Mtakatifu Magreth wa Scotland Majengo, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akijibu swali hili Naomba kujua Wainjili ni wanne kwanini Kanisa katoliki linakomea mwaka “C” wa Kanisa na kwanini hakuna mwaka ‘D’ wa Kanisa?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    25 m
  • Fahamu aina za watu na tabia zao.
    Apr 24 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, akiendelea kutufundisha juu ya aina za watu na tabia zao.

    L'articolo Fahamu aina za watu na tabia zao. proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    51 m
  • Ifahamu historia ya Baba Mtakatifu Fransisko.
    Apr 23 2025

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akielezea historia ya Baba Mtakatifu Francisko.

    L'articolo Ifahamu historia ya Baba Mtakatifu Fransisko. proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    50 m
  • Je, unafahamu kwanini upo hivyo ulivyo?
    Apr 23 2025

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki Moshi, akiendelea kuzungumzia juu kwanini upo hivyo ulivyo akijikita sana katika aina za watu na tabia zao.

    L'articolo Je, unafahamu kwanini upo hivyo ulivyo? proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    56 m
  • Fahamu mchakato wa kumpata Papa mpya.
    Apr 23 2025

    Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), akizungumzia mchakato wa kumpata Papa mpya.

    L'articolo Fahamu mchakato wa kumpata Papa mpya. proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    49 m
  • Zifahamu aina za watu na tabia zao.
    Apr 23 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki Moshi, akiendelea kutufundisha juu ya kwanini upo hivyo ulivyo akijikita katika aina za watu?

    L'articolo Zifahamu aina za watu na tabia zao. proviene da Radio Maria.

    Más Menos
    56 m